MASHADA INC

Friday, November 2, 2012

SINTA AMVUA NGUO OKWI HADHARANI.

Hivi karibuni kulikuwepo na
uvumi juu ya mshambuliaji hatari
wa timu ya Simba, Emmanuel
Okwi kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na Sinta....jamaa Okwi
sijui kitu gani kilimkurupua huko
alipo aliibuka na status yake
kwenye wall yake ya facebook
ambayo bila kuongeza neno
ilisema hivi....t
"Hi ladies and gentlemen, I
wanna take this opportunity
tomake my self clear on an
issue that has been going on
about me and Christine Sinta..
A lot has been published in
newspapers and on her blog
that we are moving out
togetherwhich is WRONG.. I
just hope that u will all
understand me.. It's been too
much for me, i really tried to
ignore all that was said about
us but i believe it's high time u
all know the truth.. Am not
moving out with her as she
claims.. No truth behind
whatever she writes..Thanks to
u all for your support..God
bless u all..One love.."
Alikuwa akimaanisha hivi katika
lugha yetu ya madafu:
“Mabibi na mabwana, nachukua
nafasi hii kuweka sawa
uhusiano wangu na Christine
Sinta, mengi yameandikwa
kwenye vyombo vya habari na
mitandano ya kijamii kama blog
kuwa tupo pamoja, nasema
siyo kweli.“Naamini
mtanielewa, nimekwazika sana,
nimejitaidi kupuuza
yanayosemwa na sasa naamini
ni wakati muafaka kujua
ukweli,” alisema Okwi.
Ujumbe wake unaendelea:
“Sina uhusiano wowote wa
kimapenzi na yeye (Sintah)
kama anavyodai, na hakuna
ukweli wowote kwa
anayoyaandika. Nawashukuru
wote kwa sapoti yetu, Mungu
awabariki.”
Ndugu yangu Sinta baada ya
kusoma hayo cheki alivyojibu
kwenye blog yake ya
Sinta.com....mapenzi ya kibongo
bwana...
Ohhhhh yeahhh we chop our
money coz we don care
im having my own siesta with
ma ladies thats y my baby boy
loves me so much
lolest a certain villager wants
to stop the unstoppable not
knowing that the jiggas are still
controlling his mind, when you
asked for a war you should be
ready because Im a lioness
even if it doesnt eat for a
week will not become a thin as
a goat that eats for everyday .
if you had a gun, i have a
bullet proof body, look your
self in the mirror and see
weather u deserve me????
tell the same people u told that
your dating me that you
wanted a job to polish my
shoes and washing my panties
for 100usd per month,  and
finally O you dont look good at
all.
poachers are looking for u in
Buwindi  game reserve because
you escaped, Gorilla go back
where u belong mxiuuuuu.
i get paid for everything i do
but you first pay for
everything you do.
if ure on heat fold  your p***s
and f**k ya a*ss
life goes on under the
S,,,,K,,,,,Y.
you look like a gateman you
can never make a list of my
pet dogs.
and never joke with the monk
coz always be a monk.
you should thank Mr Mulindwa
who made u see the black
board .
the hunter becomes the
hunted so dance  to the tune
of my music, you have stepped
in hell and now yo will get fire.
go back and take your ajono.
malooooh came from
chaloo,eating kaloooooo
driving gadigadii,,  okwiiiiii go
and cut your filimbi
(circumcised) .
im a sophisticated empowered
woman and your sophisticated
lost dog looking for bones, and
at our home dogs eat bread.
finish what you have
started ,this is another side of
sexy baby j wake lo
you have just tickled a private
part of a tiger lolest.
i go by the name sintah
j wake lo
the unstoppable
mti wenye matunda ndio
unaopigwa mawe
Nothing but confidence.
katala- mtu mjinga
tadoba-kibatari kwasababu ni
mweusi kijijini alipooka
anahitaji mwanga
halafu sihitaji ushauri nasaha,
mkamshauri yeye alieandika fb
akijua sitojibu fb ana watu
2000 my website inaangaliwa
dunia nzima.
swali nani imekula kwake??
watu 2000 fb au watu zaidi ya
million ktk hii no 1 website
muniwacheeee
hiyo ikapita, Sinta akaona haitoshi
leo katoa kingine cha ukweli
ambacho ametoa lake la
rohoni...jamani mapenzi
hayaaa.....soma hapa...ila Sinta
hata mimi namkubali kama
mwanamke anayejiamini safi
mama...jiamini.
"Stopppppp kuniandikia pumba
huku kuhusu mtu mwenye
govinda kaandia fb
hayanihusu
i dont deal with people who
have un-sustainable career
uwiiii the whole of me the lope
lope of all trades haaaaa,
usisihindane na mimi maana i
have got three career hata
kama sifanyi moja ninakula je
yeye mwenzangu mguu
ukivunjika kuna kitu tena???
MA  International relations and
Diplomacy as well as queen wa
entertainment industry sasa
kazi kwako wewe kinuka mkojo
usitukane mamba na bado
unapiga simu post itolewe hapa
hakitoki kitu ulianza na mimi
namaliza..."


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...