MASHADA INC

Thursday, December 13, 2012

EXCLUSIVE; HII NDIO VIDEO YA MWISHO YA MAREHEMU SHARO MILLIONEA, NYIMBO ALIYOFANYA AKIMSHIRIKISHA AT

MUNGU AMLAZE PEMA (M.A.P) HII NDIO KAULI KUBWA KUTOKA KWA DIRECTOR WA VIDEO HII ANAYE KWENDA KWA JINA LA NTULY.
Hii ni exclusive Video ya nyimbo mpya inayoitwa MUUZA SURA ambayo Marehemu Sharo Millionea alianza kuifanya ambayo alimshirikisha mfalme wa mduara AT. Akizungumza na UJIO WANGU  director wa Video hii NTULY amesema kwamba video hii ilikua inafanyika Maeneo ya Msasani na kwa bahati mbaya haikumaliza marehemu Sharo alipigiwa simu na kupata safari ya ghafla, Ntuly aliongeza kwa kusema siku chache baadae alishtushwa sana na habari za kifo cha msanii huyo kwani walikua bado hawajakamilisha kushoot wimbo huo ambao ni hit song.

Angalia hapa vipande vya nyimbo hii ambavyo vilikua tayari....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...