MASHADA INC

Friday, December 7, 2012

EXCLUSIVE; HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MBASHA BOY KUHUSU SUGU NA WIMBO WAKE MPYA

Allen Mbuza a.k.a Mbasha Boy
"Hakuna matata ya Sugu ni moja kati ya ngoma kali za HIPHOP hivyo napenda kumpongeza sana tena sana Mh; Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa kazi hiyo nzuri" Alisema Mbasha Boy.

Pia alimpongeza sana Sugu kwa kuendelea kutimiza yale aliyo ahidi katika kampeni zake mwaka 2010 na kuendelea kuwakumbuka wakazi wa jiji la Mbeya na vijana kwa ujumla katika nyanja zote.

Mh, Joseph Mbilinyi a.k.a SUGU, Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA)
Mtangazaji huyo wa kituo cha redio cha Sweet FM, jijini Mbeya, Mbasha Boy (Allen Mbuza) ambaye kwa sasa yupo masomoni jijini Dar es salaam katika chuo cha Usimamizi wa fedha (IFM) aliongea hayo katika kikao kifupi kilichofanyika chuoni IFM na mhariri wa blog hii na kutoa pongezi hizo.


Sionekani sana Dar sababu nakuwa jimboni, ni moja kati ya Punch line alizozipenda..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...