MASHADA INC

Tuesday, December 11, 2012

EXCLUSIVE; ROMA KUACHIA TRACK YAKE MPYA (2030) LEO


Leo ndio siku ambayo mkali wa Hip pop nchini Tanzania ambaye anatokea Tanga ila kwa sasa maskani yake ni jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Roma Mkatoliki, ameamua kuweka wazi furaha aliyonayo na kuahidi kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia ngoma kali kuliko zote alizowai kuziachia mfano kama Mathematiks na nyinginezo nyingi sasa rapper huyo yuko amesema kuwa yuko tayari kuachia ngoma yake mpya kabisa iitwayo ''2030'' ambayo ataichia siku ya leo ambayo ndo itakuwa ni siku yake ya kuzaliwa. Roma ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Endelea kutembelea blog hii tutakuwekea hapa mara tu atakapoiachia......



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...