MASHADA INC

Tuesday, December 4, 2012

KWA WALE WANAO IPENDA MBEYA, HII INAWAHUSU...SONG; GREEN CITY - DOCTOR FAZI..

Doctor Fazi

Hii ni exclusive hit song kutoka kwa mwanaharakati na msanii mwenye movement nyingi na kiu ya kutamani mafanikio sio ya kwake tu bali ya Sanaa ya jiji la Mbeya kwa ujumla. Msikilize katika nyimbo hii akilielezea jiji la Mbeya a.k.a Green City kwa namna yake... its a hit song, take time kuisikiliza uijue Mbeya...

1 comment:

  1. ngoma nimebahatika kuisikia ni kali sana, big up kwake bwana fazy

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...