MASHADA INC

Tuesday, December 18, 2012

MJUE FATHER CHRISTMAS HAPA


Saint Claus ambae pia anajulikana kama Saint Nicholas ama waweza kumuita Father Christmas, Ni mtu ambae historia yake mpaka leo imebaki na aliweza kufurahisha watoto wengi sana katika kipindi kama hiki cha siku kuu ya Christmas, Santa alikuwa akitembea usiku katika nyumba za huko nchini US na kugawa zawadi kwa watoto, hutembea nyumba hadi nyumba usiku wa tarehe 24 na kugawa zawadi hizo ambapo alikuwa akiwapa na masikini.

Santa huvaa koti jekundu lenye manyonya meupe chini na kofia, alikuwa na ndevu nyingi sana kwenye kidevu chake pia hubeba mfuko wake ambao ndio huwekea zawadi. Mpaka leo utamaduni wa
kumuenzi Father Christmas unaendelea karibu Duniani kote, sasa watu huvaa mavazi yanayofanana na ya Santa hivyo nao kuweza kusheherekea kwa namna hiyo.

UJIO WANGU BLOG TUNAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA KATIKA KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...