Thursday, January 31, 2013

BREAKING: JAHAZI LILILOKUA NA WATU 32 LAZAMA LEO JANUARY 31 2013

Ajali ya Nungwi september 2012.
Taarifa zilizo kwenye headlines wakati huu ni kuhusu kuzama kwa Jahazi liitwalo Sunrise likitokea Tanga kulekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32 ambapo limezama kwenye lile eneo la Nungwi ambalo ni hatari siku zote.

Kamanda wa Polisi Zanzibar amesema “tayari tumeshapokea watu 21 waliookolewa wakiwa wazima na hakuna maiti iliyopatikana mpaka sasa hivi, waliokuwemo kwenye chombo ni watu 32 hivyo watu bado watu 11 hawajulikani walipo”

Endelea kutembelea http://ujiowangu7.blogspot.com/ kwa taarifa zaidi mara tu zitakapotufikia.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...