Monday, February 4, 2013

NEW TRACK; NICIAN - MAPENZI YAKO

NICIAN
Baada ya kukimbiza vibaya na track yake ya kwanza kutikisa na kuwakilisha vema namaanisha Addicted Hustler aliyo mshirikisha Ezden mwanadada Nician ameachia track mpya inayokwenda kwa jina la Mapenzi Yako ngoma imefanywa na producer Man DVD kutoka Bokazy Entertainment.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...