Sunday, April 21, 2013

DOCTOR FAZI ft SILVIA & RAYMOND{The freestyle Master} - USIJISAHAU{Audio} COMING SOON

Jamaa anafahamika kama Doctor Fazi baada ya kutikisa na ngoma yake iliyokwenda kwa jina la Nigande Nikugande ameamua kurudi upya na kuleta ladha zaidi kwa mashabiki wake, sasa hivi anakuja na ngoma inayokwenda kwa jna la USIJISAHAU akiwa na wakali kibao kutoka Green City hapa namzungumzia the Freestyle master RAYMOND kutoka TIP TOP Connection na mrembo SILVIA kutoka Mbeya pia,Track imefanyika G2G records kama kawaida.
CHECK VIDEO YAKE INAYO BANG KWA SASA HAPA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...