Thursday, April 11, 2013

EXCLUSIVE; BEST ZONE QUALITY{BZQ} KUJA NA NYIMBO MPYA "BORA NIENDE FAR"

Vijana kutoka Green City wanaotamba na Nyimbo yao ya Shughale(Video na Audio) inayopata air time ya kutosha lwenye vituo mbali mbali nchini Tanzania wanakuja na exclusive house Music wakimshirikisha mkali wa R&B Nolesy anaesumbua na Music Video yake inayojulikana kama Nafaidi. Wakizungumza na Ujio wangu Blog CEO wameeleza kuwa Nyimbo inaitwa Bora Niende Far na itaachiwa kwenye vituo mbalimbali vya radio hivi karibuni.
KAA MKAO WA KULA, TEMBELEA BLOG HII UWE WA KWANZA KUIPATA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...