Tuesday, May 28, 2013

BREAKING NEWS; ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA{R.I.P NGWEAR}

Habari zilizotufikia ni kwamba msanii Albert Mangwair amefariki dunia akiwa Afrika kusini
Chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika lakini taarifa za awali zinadai kuwa msanii huyo hakuamka tangu alipolala jana.
Mtandao huu unaendelea kuifuatilia habari hii
R.I.P Ngwair
HII HAPA NI STATUS YA MWANDISHI WA HABARI MAARUFU NCHINI AKITOA TAARIFA HIYO PIA
UPDATES
Taarifa zinasema Kwamba
Ngwea akiwa na msanii M to the P jana Pretoria
 South Africa, mtu wa karibu anasema
walitakiwa kurudi dar leo lakini
waliwakuta wamezima kwenye room
wote wawili baada ya kuji overdose
madawa ya kulevya na M to the P yupo
 hoi hospitali
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...