Thursday, May 9, 2013

EXCLUSIVE; MJUE MRITHI WA MR EBBO

Jamaa anajulikana kwa jina la MASAI WA KIGOMA anaetumia rafudhi ya kimasai kuimba anakuja na hit song NATOKA LEO iliyofanyika UPRISE MUSIC studio iliyopo Mbagala chini ya Producer Fraga aliyefanya Vocal na Mixing wakati beat imetengenezwa na Dyno.
Jamaa anasema yeye ndio mrithi wa Mr Ebbo na anarudisha radha ya Kimasai kwenye mziki wetu. Pia amefunguka kuwa video ya nyimbo hiyo itatoka hivi karibuni kwani juzi alikua location kufanya video hiyo chini ya F2K kutoka MASHADA INC VIDEOZ Kampuni inayofanya vizuri kwa sasa. 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...