MASHADA INC

Thursday, October 24, 2013

EXCLUSIVE; YOUNG TUSO ft NAY WA MITEGO - TUNA DISTURB THE PEACE(Coming Soon)

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii kutoka Mtoni kwa Aziz Ali Temeke, hapa namzungumzia YOUNG TUSO a.k.a BABA JACKLINE WOLPER anarudi kwa kishindo na track yake mpya aliyofanya na THE TRUE BOY Nay wa Mitego. Ngoma inaitwa TUNA DISTURB THE PEACE imefanyika UPRISE MUSIC iliyopo Mbagala chini ya producer DUPY ambaye ni gumzo la jiji kwa sasa kutokana na hits kibao alizofanya kama vile NO SILENCE na nyingine nyingi.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Young Tuso amewaambia mashabiki wake wakae tayari kupokea hit song hiyo, soma alichokiandika hapa..
Endelea kutembelea blog hii na like facebook page yetu hapa https://www.facebook.com/UjioWanguBlog ili uwe wa kwanza kuipata nyimbo hii, pia utapata habari, nyimbo na matukio kuhusu muziki kwa haraka na uhakika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...