MASHADA INC

Monday, October 21, 2013

NEWS; THIS IS AN OFFICIAL FACEEBOK PAGE YA MSANII LIL STIGGAR, HIT MAKER WA STRESS FREE

Yule Hit maker wa Stress Free nyimbo inayofanya vizuri katika media mbali mbali ndani na nje ya Tanzania, Namzungumzia Lil Stiggar amezidi kujiweka karibu na wapenzi wa Muziki wake kwa kufungua Facebook page yake ijulikanayo kama Lil Stiggar kupitia page yake utaweza kumpa ushauri, kutoa maoni, kujua nini anafanya, pia utapata ngoma zake mpya na za zamani na kwa wanaotaka kufanya nae kazi pia wanaweza kupata contacts zake hapo. Unaweza kujiounga nae kwa kulike page yake BOFYA HAPA

Akizungumza na mtandao huu Lil Stiggar ameongeza kuwa anatarajia kuachia nyimbo mpya hivi karibuni nyimbo hiyo inaitwa YES I CAN na amemshirikisha msanii mpya kabisa katika game. Anasema nyimbo mpya imeisha nasubiri utaratibu wa management tu ili niweze kuitambulisha kwenu ila kila kitu kiko tayari nimeifanyia Mashada Inc Production chini ya producer hatari MG Creator. For more info Like facebook page yake sasa BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...