Tuesday, December 30, 2014

FUNGA MWAKA TAREHE 31/12/2014 SIKU YA JUMATANO

Ni Show Kubwa Jijini mbeya inayowakutanisha mastaa kibao ndani ya KIWILA MOTEL SOWETO  hii ni funga mwaka ya tar 31/12/2014 show hiyo sasa ina wahusisha wasanii kibao sana kama Davy star, Zax B, Abby Style & Star boy Classic kwa mtonyo wa 3000 kwa single na 5000 kwa double na nafasi itakuwepo kwa wale artist watakao hitaji kuperform   nyoooooooooooooooooooooooote mnakaribishwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...