Monday, October 31, 2011

K ZUNGU: NINA KIPAJI HALISI

  • Msanii wa mziki wa kizazi kipya ATHUMAN QADARY a.k.a K ZUNGU kutoka kurasini ,dar es salaam anaetamba na kibao chake kiitwacho FARIJIKO ametamba na kusema anaachia  track mpya iitwayo TATIZO NI NINI aliyo ifanya na producer PINO anaamini itafanya vizuri zaidi ya track zilizopita.
Akiongea na blog yetu ya ujio wangu, msanii huyo amesema anamshukuru mungu kwani kipaji chake kinajidhihirisha kadri siku zinavyo kwenda.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...