Monday, October 31, 2011

KAMA UNAKIPAJI HII NI NAFASI YAKO

Blog yako uipendayo ya UJIO WANGU inakupa fursa wewe mwana muziki unaejiamini unakipaji cha kweli nafasi ya kujitangaza, tuma wimbo wako kwenye email yetu: fridaykyando@yahoo.com.                            Mara tu tutakapo ipata tutaiweka hewani!!
TAFADHARI UKITUMA NYIMBO AMBATANISHA NA PICHA YAKO.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...