Saturday, December 24, 2011

MARY CHRISTMASS AND HAPPY NEW YEAR

Blog yako uipendayo UJIO WANGU inawatakia watanzania wote heri ya Christmass na Mwaka mpya, tunawatakia heri na baraka katika msimu huu wa sikukuu!!
Bila kuwasahau ndugu zetu wasio jiweza, wagonjwa mahospitari na nyumbani, wahanga wa mafuriko na wengineo wengi, kwa pamoja tunawaombea kwa MUNGU awajalie baraka na heri daima!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...