BREAKING NEWZZZZZZZZ:- Timu ya Soka ya TANZANIA PRISONS ya Mkoani Mbeya yapata ajali wakati wakikaribia Mkoani Tanga , kufuatia gari walilokuwa wakisafiria likiwa na watu 30 kupinduka mara tatu majira ya saa tano usiku huu na jumla watu 5 wajeruhiwa(Wakiwemo wachezaji Wanne na Kiongozi mmoja)
SOURCE;Facebook wall post by Greyson Chris Bee Salufu(BOMBA FM PRESENTER)
No comments:
Post a Comment