Tuesday, February 12, 2013

HUU NDIO UKWELI KUHUSU DIAMOND

Hapa Diamond ameandika hivi kwenye site yake "Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na Niende kwa Amani...!!"
Huenda ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata mafanikio kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never know! Staa huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja kuwa miongoni mwa wasanii wa Bongo Flava matajiri zaidi, yupo karibu mno na mama yake mzazi na pengine ndio maana anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi kama mafanikio yake ni thawabu halisi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?
Sikuzote kabla ya kwenda popote lazma tupitie kwa mama yetu mpendwa
 atupe Barka zake....!!{haya ni maneno ya Diamond kwenye picha hii katika site yake}
Hizi ni picha ambazo Diamond ameziweka kwenye website yake na kuandika kwenye moja ya picha hizo: Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake na nyingine hiyo juu akiandika: Nikipokea baraka za Mama ….Nijaliwe Mema….na Niende kwa Amani…!!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...