Tuesday, February 12, 2013

KUNDI LA PAH ONE LAVUNJIKA, INASEMEKANA CHANZO NI MAPENZI

PAH ONE
Aika a.k.a First Lady wa PAH ONE ametangaza rasmi Kujitoa kwenye kundi hilo pia aliekua rapper na Producer wa Pah One namzungumzia `Nah Real'. Aika amesema kutokuelewana kwenye kundi ndio kumefanya ajitoe na hajawahi kuongelea jambo hili mapema kwani hakutaka watu wahukumu upenda wowote wa kundi hilo nakuonekana ndio lenye makosa.
AIKA & NAH REAL
Pia Aika amesema Nah Real pia ni solo Artist na yeye na Nah Real Hawaja vunja Kundi Hilo na wamechukizwa na taarifa kuwa mapenzi yake na Nah Real Ndio yamevunja kundi hilo. Nah Real na Aika watatoa wimbo wao wa kwanza tarehe 14 Mwezi Huu.

HII HAPA NI INTERVIEW ALIYOFANYA AIKA...ISIKILIZE
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...