Friday, March 22, 2013

DOWNLOAD EXCLUSIVE HIT; YOUNG TUSO - JACQUELINE WOULPER

Young Tuso
Young Tuso "THE AMBASSADOR OF TEMEKE" kama anavyojiita mwenyewe jamaa anafunguka kuhusu upendo wake kwa Msanii wa Bongo Movie "Jacqueline Woulper" kikubwa na cha msingi ni kwamba all things are true and real katika hii ngoma... mwenyewe anasema katoa yake ya moyoni kwa mrembo huyo na yuko real sio sanaa..

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...