Wednesday, March 27, 2013

NISHER; MASTAA WENGI WANATAKA KURUDIA VIDEO ZA NYIMBO ZAO KWANGU

Nisher Kazini
The Super Director "NISHER"ambae anasumbua vichwa vya madirector kibao ndani ya bongo, baada ya kufanya hits kadhaa zinazosumbua sana kwenye media za ndani na nnje ya bongo amefunguka kupitia mtandao wa kijamii Facebook kama inavyosomeka hapa;

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...