Katika hili sina cha kuongeza wala kupunguza.. Soma alichopost Msanii Roma Facebook!
PAZIA LINAFICHA MENGI SANA!!
WATU WASIOFAHAMU MUZIKI NDO
WANAPEWA VITENGO MUHIMU
KATIKA HII SANAA YETU...
FINALLY THEY DESTROY THE WHOLE
SYSTEM!! INAUMAJE YAANI..
.LAITI UKWELI UNGEPEWA NAFASI
BASI WATU WENGI SANA
WANGEAIBIKA DUNIANI HUMU!!!
POLE DJ CHOKA KWA
KILICHOKUKUTA DODOMA JANA
KWENYE SHOW YA INTERCOLLEGE
ROYAL VILLAGE PALE!!
SAMAHANI PIA WANA DODOMA KWA
MIMI KUPERFORM CHINI YA
KIWANGO (NILILIONA HILO).
NYUMA YA PAZIA KUNA MENGI
SANA MSIYOYAJUA (BACK STAGE).
DAKIKA CHACHE WAKATI MR BLU
ANAMALIZIA KUPERFORM THEN
NIENDE MIMI KUMALIZA SHOW.
HUKU NYUMA YA JUKWAA
KULITOKEA ZENGWE, KWAMBA DJ
CHOKA AMBAYE SIKU ZOTE
AMEKUWA NDIYE DJ WANGU COZ A
KNW WAT HE GAT!! WALIMKATALIA
ASIPANDE NA MIMI NA BADALA
YAKE NIPANDE MWENYEWE NA DJ
WAO, KWA SABABU AMBAZO
HAWAKUZITOA(PENGINE NI SABABU
BINAFSI) NA MKATABA HAUKUSEMA
HIVO!!
SIKUKUBALI HILI NA NDIPO HAPO
WALIPO NIVURUGA AKILI, TENA
WAKASEMA KAMA HUTAKI ACHA
KUFANYA SHOW, KIUKWELI
NILIACHA NA KUANZA KUSEPA NA
KUELEKEA HOTEL(KAMA NI MBWAI
MBWAI watanga twasemaga)
KWA BUSARA ZA GODZILLA
AKASHAURI NISISEPE NIKUBALI
KUFANYA!! MIMI SIKUKUBALI
KUFANYA BILA CHOKA!! SAWA
NAWEZA FANYA SHOW NA DJ YEYOTE
NA HUWA NAFANYAGA HIVO... BUT
KWA HILI NILISHAWAMBIA NAJA NA
CHOKA NA WAKAKUBALI NA
KUMUWEKA KWENYE BAJETI YAO!!
KWANINI WAKATAE MWISHONI!!!??
HATA D.N.A WALIMFANYIA HIVO
NASIKIA NA WAKAMWAMBIA
APANDE BILA DJ WAKE. NA YEYE
ALIKUBALI!! (HALIKUNIPENDEZA
HILI KWAKWELI)
THANX GOD NILIKAZA HADI
WAKASANDA NA NIKAPANDA NA
CHOKA(NDIYO MAANA TULICHELEWA
KUPANDA HADI WENGINE MKAANZA
KUSEPA SOORRY DODOMA).
LAKINI SIKUWA KWENYE MOOD POA
KAMA NILIYOKUJA NAYO WALIKUWA
WAMESHANIKATA, SO NIKAPERFORM
KIBWEGE SANA.
.LAKINI NILIFANYA BUSARA KULIKO
NINGESEMA NISIFANYE
KABISA...MAANA HAMJUI
YANAYOTOKEA NYUMA YA PAZIA!!!
TUNAKUMBANA NA MITIHANI
MINGI SANA LAKINI TUNAIPIGA
VITA...ILI TUMAINTAIN NAFASI
TULIYOPO.
SIJUI KWANINI NAPATA VIKWAZO
KTK SHOW ZANGU ZA ROUND HII!!
MUNGU TUONGEZE IMANI NA
NGUVU NA HEKIMA NA BUSARA
KATIKA KAZI ZA MIKONO YETU!!!
MTWARA KESHO NIPO NA NYINYI
HAPO..TUONE ITAKUWAJE!!
No comments:
Post a Comment