Leo tunakuletea top 10 ya kauli zenye changamoto, zenye utata zilizowahi kuzungumzwa na viongozi wetu wa Tanzania..
1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe.. MH MLAMBA
2.Foleni dar ni ishala ya maisha bora kwa kila mtanzania...MH JAKAYA KIKWETE
3.Acheni wivu wa kike...MH MSEKWA.
4.Asiyeza kulipa nauli apige mbizi..MH MAGUFULI
5.Baada ya kutumia edkopta ya jeshi kwenda nayo Ulambo.mlitaka nipande punda?...MH KAPUYA.
6.Wabunge wa dar wanafikiria kwa kutumia makalio...MH MASABULI
7.Ukitaka kula lazima na wewe uliwe ...MH JAKAYA KIKWETE.
8.Mnauliza mvua kwani mimi waziri wa mvua?... MH WASILA
9.Kila mwanachi atabeba msalaba wake...MH MKULO
10.Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao...MH JAKAYA KIKWETE
No comments:
Post a Comment