Mchezo wa nusu fainali ya UHAI CUP leo umeingia dosari kubwa baada ya mwamuzi kupigwa na mashabiki walio hudhuria kuangalia pambano hilo kati ya AZAM FC dhidi ya MTIBWA SUGAR (U 20) hii ilitokea baada ya refa kuamua penati ya mwisho ambayo Mtibwa walifunga iruduwe kwa madai kuwa goli kipa alitoka mapema.
Baada ya kurudia penati hiyo Mtibwa walikosa na kuwapa nafasi Azamu ambao walifunga na kutinga fainali. angalia video hizi hapa utaona mengi, wananchi wamelalamikia sana maamuzi ya refa...
Baada ya kurudia penati hiyo Mtibwa walikosa na kuwapa nafasi Azamu ambao walifunga na kutinga fainali. angalia video hizi hapa utaona mengi, wananchi wamelalamikia sana maamuzi ya refa...
No comments:
Post a Comment