Sunday, November 13, 2011

SUGU; RAISI WA MBEYA AFANYA KWELI

HAKIKA UMOJA NI NGUVU, wananchi wa mbeya wamerizisha na kauli za raisi wao MH; JOSEPH MBILINYI baada ya kuwaruhusu waendelee kufanya biashara zao kama awali, sasa hali ni shwali kabisa jijini mbeya! HONGERA MHESHIMIWA KWA KUTATUA MZOZO HUO!!!!!!!!!1
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...