Saturday, December 24, 2011

HABARI KATIKA PICHA MASAA 9 BAADA YA MAFURIKO

EWE MTANZANIA MCHANGO WAKO UNAHITAJIKA KATIKA HILI..
GARI LILILO FUNIKWA NA MAJI  SASA LAANZA  KUONEKANA
MTAA WA SPENKO UKIWA UMEJAA MAJI 
VYOMBO VIKIWA NJE YA NYUMBA ILIYO JAA MAJI
KIJANA AKIJARIBU KUVUKA KATIKA TOPE ZITO BAADA YA MAJI KUPUNGUA

VYOMBO VIMEJAA TOPE NA MAJI MACHAFU
TANKI LA MAJI TAKA LILIDONDOSHWA NA KUTUPWA BARABARANI
HII SIO BAHARI NI KATIKATI YA MAKAZI YA WATU
GETI LA NYUMBA LILIHARIBIKA VIBAYA 
MHANGA AKITOA MAJI NDANI YA DUKA LAKE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...