Thursday, December 22, 2011

MPINZANI WA KABILA AAPA KUJIAPISHA!

Raisi Joseph Kabila

Aliyekuwa mpinzani wa Joseph Kabila
Etienne Tshisekedi

Aliekuwa mpinzani mkuu wa raisi wa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo bwana ETIENNE TSHISEKEDI anaendelea kusisitiza kuwa yeye ndio mshindi wa kinyang'aniro cha uraisi wa nchi hiyo tofauti na ilivyotangazwa na tume ya uchaguzi kuwa aliyekuwa raisi  katika awamu iliyopita Mh JOSEPH KABILA ndio mshindi.
Bwana Etienne Amesisitiza kujiapisha yeye kama raisi wa nchi hiyo siku ya kesho Ijumaa.Wakati haya yote yakiendelea mshindi alietangazwa na tume ya uchaguzi Mh.Joseph Kabila aliapishwa siku ya jumanne!!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...