Thursday, December 22, 2011

WATU 23 WALIPOTIWA KUFA KUTOKANA NA MAFURIKO DAR ES SALAAM

Maeneo mbalimbali ya Dar es salaam yanavyo onekana katika picha ya juu.Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha ndani ya jiji la Dar es salaam madhara makubwa yanaendelea kuripotiwa.
Mpaka hivi sasa idadi ya watu walio ripotiwa kupoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yanayoendelea katika maeneo mbali mbali imefikia 23.
Wakati huo huo wananchi na mashirika mbali mbali yanaombwa kujitokeza kutoa msaada wao wa hari na mali ili kuwasaidia wahanga wa maafa hayo makubwa yaliyojitokeza.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...