Wednesday, November 23, 2011

AJALI MBAYA YATOKEA RIVER SIDE UBUNGO

HABARI ZA UHAKIKA TULIZO ZIPATA HIVI PUNDE ZINAELEZA KUWA MAGARI MAWILI YAMEGONGANA ENEO LA RIVER SIDE UBUNGO NA KUSABABISHA KIFO CHA WATU WATATU MPAKA SASA...PUNDE TUTAWALETEA HABARI KAMILI...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...